Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
powered by podOmatic
460>_1766968
Salaam, Suala la DECI ni marudio tu ya michezo mingine kama hiyo ambayo imeshawahi kutokea huko nyuma. Jinsi suala la DECI lilivyoshughulikiwa linaonesha ni wazi hakuna utaratibu mzuri wa kushughulikia michezo hii na inakuwa kama tunaanza moja. Hatuelewi ni kwanini michezo hii inarudiwa rudiwa hadi inafikia inapofikia ndio kama watu waliokurupushwa watendaji wa serikali ndio wanaanza kufanya kazi. Twende na tuwe cheche!