Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
powered by podOmatic
460>_1655326
Salaam, Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mhe. Lucas Selelii Mbunge wa Nzega, miongoni mwa wabunge wenye msimamo wa kimabadiliko na miongoni mwa vinara wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM na katika Taifa. Tafadhali hakikisha unasoma sehemu ya ahadi yetu kwani tuna ujumbe muhimu kwa wasomaji wetu na wanachama wetu. Ungana nasi pia kwenye mijadala motomoto kwenye forum yetu ya http://www.mwanakijiji.com ambapo mojawapo ya mijadala ya kina ni suala la Rais wa zamani Mzee Ally Hassan Mwinyi kushambuliwa siku ya jana kwenye maadhimisho ya Siku Kuu ya Maulidi pale ukumbi wa Diamond Jubilee. Tushirikishe mawazo yako. Vivyo ni mahali ambapo kila tunapopata habari unakuwa wa kwanza kabla hujazisoma habari hizo kwenye magazeti, kusikia radioni au kutazama kwenye luninga. Karibu! Twende na tuwe Cheche!
[PLAY]