February 28, 2009 09:38 PM PST
[IMG]http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/gallery/taarifa2008.jpg[/IMG]
Leo Machi 1, 2009 ni miaka mitatu tangu tuanze kuandika kama wanaharakati na kuanza matangazo yetu yenye kujenga hoja mbalimbali. Ni miaka mitatu ambayo imetimia ndani yetu moto wa mwamko mpya ukizidi kuwaka na kuchochewa kila siku kama tanuru ya chuma!
Katika kuangalia mwaka uliopita na kutazama mwaka huu mpya tumeandaa ripoti yetu hii ya shughuli zetu kama tulivyofanya mwaka jana. Kwa mara ya kwanza tumeenda mbele zaidi kwa kuweka mambo mengi wazi ambayo tunaamini kwa wale mashabiki, wanachama na wanaotuunga mkono kuweza kufahamu.
Tunatumaini taarifa hii ni kile kidogo tunachofanya katika kuwajibika mbele zenu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha.
Hii nayo iwe ushuhuda!
M.M. Mwanakijiji
Bonyeza Hapa: [url]http://www.box.net/shared/fx8bd7oxi7[/url]