Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
powered by podOmatic
460>_1603912
Natamani ningeweza kusema kwa nguvu ninachosema kisema hapa. Natamani ningekuwa na sauti kubwa zaidi kuweza kusikika kuhusu mauaji ya Leticia Bahati siku tatu zilizopita. Ninachojiuliza ni kwanini Masha bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani? Lakini kuna maswali makubwa zaidi ya hilo ambayo ninayauliza leo kwenye "Nguvu ya Hoja"! Sikiliza.
[PLAY]