Toleo letu kama tulivyotaarifa lilichelewa kutoka hadi leo hii. Ndani yake kuna habari nyeti na nzito na pia kuna makala ya kusisimua yenye mikwara kutoka kwa Dr. Wilbroad Slaa. Zaidi ya yote huwezi kukosa maoni ya kishujaa ya Jessica. Pia hoja kuhusu miaka 32 ya CCM inatolewa kwa nguvu zote.
Ni matumaini yetu kwa namna fulani tumeweza na tunaendelea kuweza kushiriki katika mijadala mbalimbali ya kitaifa na tunakukurabisha uungane nasi kwenye baraza la mijadala kwenye http://www.mwanakijiji.com.Wakati huo huo utaona kuwa tumeongeza sehemu ya kuweka picha mbalimbali kwenye tovuti yetu na unaweza kufungua albam yako ya picha mbalimbali ukizingatia taratibu na kanuni zetu.
Na wewe nenda, ukawe Cheche! Mhariri Pata nakala yako ya bure hapa: http://www.mwanakijiji.com



