Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
powered by podOmatic
460>_718629
Tangu kuondoka kwake madarakani Rais Mstaafu Ndg. Benjamin William Mkapa amekuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali kuhusu utajiri alionao na hasa kuhusu baadhi ya matukio yaliyotokea wakati wa utawala wake. Hata hivyo, yeye mwenyewe hayuko tayari kujibu tuhuma hizo au hata kuonesha kuwa amezisikia na anazifanyia kazi. Swali ambalo bila ya shaka linawagawa Watanzania ni kama Rais Mkapa akae chini na kujibu tuhuma hizo au aendelee kuzipuuzia kuwa ni kelele za watu wenye wivu.
[PLAY]