Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
powered by podOmatic
460>_718678
Suala la kadhi ni suala linalogusa Watanzania wote. Katika onesho la leo, ninachambua upungufu wa hoja za Sheikh Khalifa Khamisi ( Wa msikiti wa kwa Mtoro) na wenzake ambao wanataka Watanzania wengine (hususan wasio waislamu) wasilingumzie jambo hili. Na pia ninatoa mapendekezo yangu kwa Waislamu kama wataamua kuanzisha mahakama ya kadhi. (Pichani, jengo la mahakama mpya ya Wilaya huko Kongwa, Dodoma)
[PLAY]